Mtazamo tu.
Wengi wetu kiinglish ni tatizo, ingelikua kiswahili wengi wetu tungepata fursa ya kuchangia hoja. Trust me, good business people walio wengi hawajui kiinglish lakini wanamawazo na uzoefu wa kutosha.
Weka kwenye kiswahili ntakua wa kwanza kuchangia.