Tuendelee kuomba Dua iendelee kunyesha

Tuendelee kuomba Dua iendelee kunyesha

Kwa kweli [emoji22]
Mwenye Enzi Mungu tuhurumie jamani!
Hili Jua kali lina tosha walahi!
Basi sasa uwiii [emoji24]
 
Ehh Muumbaji mkuu wa vitu vyote vinavyo onekana na visivyo onekana eehh Mola Mwenye uwezo wote tunakuomba utupe sisi Wantanzania baraka zako kubwa na nyingi pamoja na ulinzi wako mkuu!
Maana tumechoka na ukame, tumechoka na nchi yetu kuibiwa na wachache wanao fikiria matumbo yao tu!
Tubariki nchi yetu Tanzania [emoji1241], ehh Maulana [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Aaamina!
 
Kuna dalili manyunyu yanapiga tuendeleeni kuomba dua.
Kwetu Nashukuru Mungu Leo siku ya tatu inakata kidg inarudi.
Mhhh kumekua kubichi mno.
Tatizo kubwa ni umeme kama sa hii nje mvua umeme hakuna.
Hapo kuvamiwa kuporwa, kuibiwa ni rahis sana
 
Kwetu Nashukuru Mungu Leo siku ya tatu inakata kidg inarudi.
Mhhh kumekua kubichi mno.
Tatizo kubwa ni umeme kama sa hii nje mvua umeme hakuna.
Hapo kuvamiwa kuporwa, kuibiwa ni rahis sana
Wapi huko Mkuu
 
mtakula ukame mpaka mkome

nani alikutumeni mkate miti 2m ?
 
Back
Top Bottom