Vifaranga200
Senior Member
- Oct 28, 2022
- 163
- 177
wapi huko?Kuna dalili manyunyu yanapiga tuendeleeni kuomba dua.
Kwetu Nashukuru Mungu Leo siku ya tatu inakata kidg inarudi.Kuna dalili manyunyu yanapiga tuendeleeni kuomba dua.
Wapi huko MkuuKwetu Nashukuru Mungu Leo siku ya tatu inakata kidg inarudi.
Mhhh kumekua kubichi mno.
Tatizo kubwa ni umeme kama sa hii nje mvua umeme hakuna.
Hapo kuvamiwa kuporwa, kuibiwa ni rahis sana
Mwanza mkuuWapi huko Mkuu