Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
TUEPUKE NA MAGONJWA, TUSAFISHA VIUNGO VYA NDANI VYA MWILI
Tunaweza kuishi mbali na magonjwa endapo tutajenga mazoea ya kula vyakula ambavyo vinafanya kazi ya kusafisha miili yetu. Tunavuta hewa iliyochanganyikana na uchafu (Sumu), vyakula, vinywaji, matumizi ya computer, simu, nk. Sumu hizi huwa na kawaida ya kuua seli muhimu mwilini. Viungo vyetu vina seli nyingi ambazo kazi yake ni kuhakikisha kuwa vinafanya kazi ya kujilinda na kujijenga vyenyewe. Pindi seli hizi zinavyopungua hapo ndipo magonjwa uanza.
Kama ilivyo desturi ya kufanya service a maintenance ya vyombo vya usafiri, vivyo hivyo miili yetu inahitaji huduma hiyo.
Watafiti na wana sayansi kwa upande wa afya wanasema kuwa kila kiungo kinatakiwa kuonekana kipya kila siku kama inavyoonesha hapa chini:
1. INI
2. TUMBO (kuta za utumbo)
3. KONGOSHO
4. MAPAFU
5. MOYO
6. FIGO
7. UBONGO