passioner255
JF-Expert Member
- Apr 22, 2019
- 6,881
- 13,096
Ni huzuni
Ndo ninaposhangaa wanafaidika nini sisi ndugu zao tukiuliwa kwa kudai Tanzania bora?Wenye nguvu wanalijua hilo lakn wamewaachia Gen Z watoane kamasiii na polisi wenye vyuma vya moto.
InaumaSana/ItHasAForkVery
Aondolewe damu za watu ni mbaya sanaPopote damu ikihusishwa kwisha habari.
Sir muya ana mtihani mzito sana.
D9 niipate kama hii ikiwa full magazine, nna jambo langu nayo kwa yeyote atakayekaa mbele kuzuia uhuru wa Tanganyika