naona wewe umetumwa siyo bure, humu watu wanaishi Kama digidigi, tutambuane ili iweje?Je waweza kutambua kazi/sifa za mtu humu Jamii forum kwa jinsi tuu anavyoandika /kuchangia mada mfano: Mwalimu,Nurse,dokta,mwanafunzi,mhandisi,mwanasheria,mrefu,,mkoa anaoishi...nk???
Basi leo tutambuane kwa vigezo ivyo tukianza na mimi mleta mada ukikosea ntajitokeza na kutoa Cv yangu in brief about job place niko naishi...nk
Uko free kucomment kwa mtu yeyote yule.
KARIBUNI.
Sawa mfanyakazi wa UPSMimi wala hakuna ugumu kuitambua kazi yangu.
Ni mbeba maboksi niliyepanda ngazi hadi kufikia urais.
Mimi ndiye rais wa wabeba maboksi.
USA baby View attachment 397800
Tena akamwambie aliyemtuma hajawakuta ashindwe...naona wewe umetumwa siyo bure, humu watu wanaishi Kama digidigi, tutambuane ili iweje?
ili uwarahisishie kazi wang'oa meno? 0
kwenda zako huko.
Hahahahahaha Hahahhahahaaa Hahahaahhaha ametumwa sio burenaona wewe umetumwa siyo bure, humu watu wanaishi Kama digidigi, tutambuane ili iweje?
ili uwarahisishie kazi wang'oa meno? 0
kwenda zako huko.
π±πππππππNimechoka na maisha haya,nipo tayari kuvikwa Bomu alimradi nipatiwe 50mil,niiachie familia yangu....ndukiiiii....