Tufahamiane/Tujuane/tutambuane wana JamiiForums

Mimi ni mfalme wa msituni, nina uwezo wa kumkanyaga tembo kwa mguu wangu, naweza kumsaga saga simba kwa vidole vyangu
 
Baada ya Zoezi la Kuprint T-shirt Zenye Jina Langu Likimalizika,
Nitaiweka na picha yangu humu ndani, so mkuu usijali mimi utanijua tu
 
Jukwaa la Wajasiriamali kule wengi sana tunajuana,na tunatemebeleana kwenye miradi,biashara zetu na pia kwenye kubadilishana mawazo.
Majukwaa mengine ni majanga
 
yaan ili iende sawa ungekuja na full cv yako hapa tukuone... bya tha way we happily enjoying being anonymous here.
 
Hahah nacheka na hizi comment
Mkuu nahisi imekuwa wrong turn
 
Sory mkuu hua unatumiga kiroba gani tena!! Cha konyagi au cha jogoo!!
 
Mimi naitwa kimatira napatikana shy. kazi yangu ni kutembelea Nyumba za waungwana usiku na kumtoa mwanaume nje.
 
Mimi naitwa kimatira napatikana shy. kazi yangu ni kutembelea Nyumba za waungwana usiku na kumtoa mwanaume nje.
Mkuu jina lako nimelipenda kule mkoa fulani ni sumu moja mbaya sana ya kupulizia kwenye mikahawa!!!![emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
naona wewe umetumwa siyo bure, humu watu wanaishi Kama digidigi, tutambuane ili iweje?
ili uwarahisishie kazi wang'oa meno? 0
kwenda zako huko.
Jamii forum raha sana unakaa msituni unarusha jiwe litakalo mpata ndo yeye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…