Tufahamiane wanaJF Kigoma/Kasulu town

MulRZGM

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2017
Posts
1,015
Reaction score
747
Jamani iv kuna wanaJF wanaoish hapa Kasulu/KIGOMA? Kam mpo tujitambulishe then cku1 tupange tukutane tufahamiane physically,

Me npo Kasulu eneo la Mlimani...

Karibuni [emoji4]
 
karibu kigoma/manispaa
Ok brah Msakaa jr nakutafta kat ya j3 au j4 mana npo kigoma mjini bdo, nmeish apo eneo la burega kwa muda nkahamia kasulu, ntakchek nxt wk bro
 
niko dumila morogoro lakini natokea kaseke-kakonko
 
kama kuna mwana JF muha yupo Dumila tutafutane
 
mtafuten diamond mwenzenu nae tena siki hizi anauza na karanga mpostien na mawese apigie promo
 
Karibu kigoma mji mwema, ila mambo ya kuonana hayaruhusiwi, tungetaka tungeingia hapa kwa majina halisi, usije ukawa na nia ovu

Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
 
Mimi nipo kigoma shopping mall barabara ya bunjumbura

Sent from my TRENDY using JamiiForums mobile app
 
Jamani iv kuna wanaJF wanaoish hapa Kasulu/KIGOMA? Kam mpo tujitambulishe then cku1 tupange tukutane tufahamiane physically,

Me npo Kasulu eneo la Mlimani...

Karibuni [emoji4]
Karibu Masanga barabara ya Airport
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…