Tufahamiane, wewe ni wa muonekano gani?

Tufahamiane, wewe ni wa muonekano gani?

Malingumu

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2012
Posts
616
Reaction score
429
Wengi wetu hatujaonana ana kwa ana...
but tunaweza jieleza hapa tulivyo ili angalau kila mmoja apate taswira ya muonekano wa mwenzake...(Nafikiri si mbaya).
.
Sina shaka kuwa mara nyingi ukimjibu au kusoma thread ya mtu kuna mawazo/taswira fulani ya mtu huyo unaipata...kwa namna hii tunaweza isaidia akili zetu kwa kiasi kuipa muongozo wa taswira wa namna mtu(member mwenzio) anavyofanania...
.
NIANZE MIMI:
-Mwanaume
- Ni mrefu kidogo(ft 5 na inchi kadhaa)
- Mweusimweusi
-No six pack wala kitambi
-Mwili wa kawaida japo si mwembamba kutisha
.
Wewe unafananaje?
 
13192.jpg
 
[emoji23][emoji23]imenibid nicheke mm sijijui jins nilivyo
 
Back
Top Bottom