Kibonge mweupe kiasimimi sijui hata nianzie wapi yaani maaana wino hautoshi
Mungu hafananishwi na chochoteMimi mfano na sura ya Mungu
miguu bado hujasema mkuu....mimi
katikati ya mfupi na mrefu
kibonge chembamba sijui nijiweke wapi?
mweupe kuelekea mweusi
Imeandikwa tumeumbwa kwa mfano wakeMungu hafananishwi na chochote
hehehe, biblia ngumu sana kuelewa.Mungu hafananishwi na chochote
yani wewe kama mimi tu labuda tumepishana jinsia tumimi
katikati ya mfupi na mrefu
kibonge chembamba sijui nijiweke wapi?
mweupe kuelekea mweusi