TUFAHAMISHANE juu ya mazara ya chanjo kwa mtoto

james bendui

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2015
Posts
693
Reaction score
690
habari wanajamvi naombwa kujuzwa sana juu chanjo gani anazopewa mtoto kuanzia wiki ya kwanza mpka anapofikisha miez 9 na pamoja na ile zana ya kuwa hizi chanjo sio nzuri kwa wototo wetu asante.
 
ila jf Mungu anawaona natoa shida watu 132 wameview tu hii ishu yangu hamn aliyechangia siamini kbs kama wote hamn anayefahamu kitu leo siku ya pili kmy ase ila mamb ya kisiasaa hp watu wengetirika balaa dah
 
Kwa uelewa wangu

Kuna ile sindano ya bega akishazaliwa, halaf zinafata za mapaja zikiambatana na matone
 
habari wanajamvi naombwa kujuzwa sana juu chanjo gani anazopewa mtoto kuanzia wiki ya kwanza mpka anapofikisha miez 9 na pamoja na ile zana ya kuwa hizi chanjo sio nzuri kwa wototo wetu asante.

Kila chanjo lengo lake ni kumkinga mtoto na ugonjwa unaochanjwa.
Chanjo tanzania
 
Kila chanjo lengo lake ni kumkinga mtoto na ugonjwa unaochanjwa.
Chanjo tanzania

Ni kama BCG kwa ajili ya TB, polio, DPT hib, rotavirus, Measles and Rubella na kadhalika
 
Chanjo hutolewa mwezi wa 2 na 4 na wa 6 kwa ajili ya kinga ya maradhi mengi kama chickenpox,.tetanus,hepatitis A, B Influenza au flu na MMR mwisho
Hazina madhara bali ni kinga kwa watoto ila uliza Dr kwa ushauri zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…