nataka kujua katika akili za wanyama a.k.a ufahamu wao, sisi binadamu wanatuonaje au wanatufahamu vipi..........je, wanatufahamu kama wanyama? wanatuchukulia kama viumbe flani vya ajabu? wanatucheka tumeumbika vibaya? au ipoje ipoje? mwenye ufahamu tafadhali
nikiwa kijijini enzi hizo za ukuaji, tuliwahi kupewa mbinu za kufanya ili kuepuka kuwa kitoweo cha simba (kwa wanaume)kwamba eti ukikutana nae basi we vua nguo tu na usimame umtazame. ukifanya hivyo lazima atakimbia kwa mshituko kwamba anashangaa 'ni kiumbe cha ajabu namna gani hiki chenye mkia mbele' wakati wao wamezoea mikia kuwa nyuma km ilivyo kwa wanyama wote porini. sina uhakika lakini km stori hii ina ukweli wowote ingawa kwa kipindi hicho niliiamini sana!