Tufahamishane juu ya mtazamo wa wanyama kwa binadamu

NIMEONA

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2019
Posts
3,862
Reaction score
5,693
nataka kujua katika akili za wanyama a.k.a ufahamu wao, sisi binadamu wanatuonaje au wanatufahamu vipi..........je, wanatufahamu kama wanyama? wanatuchukulia kama viumbe flani vya ajabu? wanatucheka tumeumbika vibaya? au ipoje ipoje? mwenye ufahamu tafadhali


nikiwa kijijini enzi hizo za ukuaji, tuliwahi kupewa mbinu za kufanya ili kuepuka kuwa kitoweo cha simba (kwa wanaume)kwamba eti ukikutana nae basi we vua nguo tu na usimame umtazame. ukifanya hivyo lazima atakimbia kwa mshituko kwamba anashangaa 'ni kiumbe cha ajabu namna gani hiki chenye mkia mbele' wakati wao wamezoea mikia kuwa nyuma km ilivyo kwa wanyama wote porini. sina uhakika lakini km stori hii ina ukweli wowote ingawa kwa kipindi hicho niliiamini sana!
 
Ukimvulia nguo simba Papo hapo atakurukia na kukurarua,maana utakuwa umemuonesha nyama aipendayo ukondoa maini yaliyomo tumboni.

Mimi nadhani wanajua kuwa sisi Binadamu ndio viongozi na mabosi wao.
ila wengine hujuwa kuwa sisi pia ndio maadui zao.
Ndo maana wanyama ukiwapa mafunzo fulani ,wanaweza kuishi na bina damu bila ya kumdhuru.
Lakini usijekumuacha na njaa,Instinct itamjia na kukugeuza kitoweo.
 
anhaa, safi sana kiongozi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…