Tufahamishane kuhusu ajira za gereji na udereva huko Ughaibuni

Tufahamishane kuhusu ajira za gereji na udereva huko Ughaibuni

Colecole

Senior Member
Joined
Oct 1, 2021
Posts
144
Reaction score
190
Poleni na majukumu popote mlipo

Jamani naombeni kwa wenye ufahamu zaidi huko nchi za ughaibuni kuhusu ajira za garage au Udereva

Moyo wangu unasukumo la Maisha bora hapo kesho natanguliza shukrani[emoji1666].

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Maisha bora yako hapa hapa Tz, ni utashi wako kupanua wigo na kufikilia zaidi, hiyo fikira ya ughaibuni ni potofu potofu mara mia.
 
Back
Top Bottom