Colecole Senior Member Joined Oct 1, 2021 Posts 144 Reaction score 190 Feb 23, 2022 #1 Poleni na majukumu popote mlipo Jamani naombeni kwa wenye ufahamu zaidi huko nchi za ughaibuni kuhusu ajira za garage au Udereva Moyo wangu unasukumo la Maisha bora hapo kesho natanguliza shukrani[emoji1666]. Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Poleni na majukumu popote mlipo Jamani naombeni kwa wenye ufahamu zaidi huko nchi za ughaibuni kuhusu ajira za garage au Udereva Moyo wangu unasukumo la Maisha bora hapo kesho natanguliza shukrani[emoji1666]. Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
C Covax JF-Expert Member Joined Feb 15, 2021 Posts 10,198 Reaction score 35,323 Feb 23, 2022 #2 Maisha bora yako hapa hapa Tz, ni utashi wako kupanua wigo na kufikilia zaidi, hiyo fikira ya ughaibuni ni potofu potofu mara mia.
Maisha bora yako hapa hapa Tz, ni utashi wako kupanua wigo na kufikilia zaidi, hiyo fikira ya ughaibuni ni potofu potofu mara mia.