sirluta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2012
- 6,325
- 2,491
Ndugu wataalam wa JF doctor, tunaomba mtupe elimu kidogo au kwa kina juu ya madhara ya kung'atwa na jino la binadamu. Kuna wanaosema jino lina sumu hivyo mtu akikung'ata unaweza kufa.
Je kuna ukweli katika hili?
Vipi kama umeng'atwa ukachoma sindano za tetanus zinasaidia kwa kiasi gani?
Naomba ufafanuzi wakuu.
Je kuna ukweli katika hili?
Vipi kama umeng'atwa ukachoma sindano za tetanus zinasaidia kwa kiasi gani?
Naomba ufafanuzi wakuu.