Katka hlo sina huwakika ila najua kuna effect waweza zpata ikiwepo kuambukizwa gonjwa hatari la virus aina ya hepatitis{inflammation of the liver causing yellowsh skin,abdominal pain,and weakness} hii nikutokana katka kung'atwa kunakuwa kuna body fluid znazo contaminated kama damu&mate.