Tufanye biashara hii, yenye hela


Mkuu nondo zako siku zote zimeenda shule .Usikimbie hili jamvi,michango yako ni muhimu mno,japo sio wote watakaokuelewa.Itakuja kufika siku hata taxi mjini zinaendeshwa na makampuni makubwa,sio mtu unakuja na ka corolla kake anataka kufanya taxi,hapo ndo wengi wataelewa ulikua unamaanisha nini kwenye jumbe zako.
 

Mkuu Tatzo Watanzania wakiambia ukweli wanakuja juu sana, haina haja ya kukaa kudanganyana wakati tunaangamaia, Ya unacho sema ni ukweli sisi tumejikita katika biashara ya uchuuzi, Ila investment kubwa na zenye tija kama wanazo fanya wakina Malila hizo hapana,

Kuhusu Tex kuwa makampuni hiyo ni kweli kabisa na haiko mbali sana, kwani hujaona kwenye Dalala imeisha anza wanataka ziendeshwe na makampuni na si kila mtu anakurupuka na kununua Basi, Kwani ulitegemea Vi Haice vingeondolewa katikati ya Jiji? hata hayo Mabasi bado yataondoka na yatatakiwa masi makubwa zaidi kama haya yanayo enda mikoani tena babasi yenye hadhi siyo ya kuchonga body,

LAKINI PAMOJA NA HAYO SI ZANI KAMA KUNA WATANZANIA WANAO ENDESHA BIASHARA ZA DALADALA WANALIONA HILO, HAKUNA TUMEJIKITA KUKUSANYA PESA TU LAKINI KUINVEST KWA AJILI YA MIAKA 10 IJAYO HAPANA,

- Na hata haya mabasi yaendayo mikoani kwa baishara wanazo fanya bila ubunifu hawatakua na muda mrefu, tumejikita sana kukusanya fedha kuliko kuboresha huduma ndo culture yetu,

MFANO JANA NILIINGIA MINSUPERMARKET MOJA YA HAPA ARUSHA, KWA KWELI UNAWEZA KULIA, WAHUDUMU WAKO BISE NA MAGAZETI YA UDAKU, UNAWAULIZA KITU MARA NNENE, WANAKUONA KAMA UMEENDA KUOMNA MSAADA DUKAN MWAO, ILA KUNA HAWA WAKENYA WANATAKA KUFUNGUA SUPERMARKET YAO KUBWA KULIKO HATA SHOPRITE, NAPENDA WAJE ILI WATANZANIA TUFUNGE ZETU NA TUJIFUNZE BIASHARA ZINAVYO FANYWA NA SI KUCHUKU VIDADA MTAANI UNAWEKA DUKANI HUJAVIPA ELIMU YOYOTE VINABAKI KUPAKA WANJA DUKANI BADALA YA KUWAHUDUMIA WATEJA,

Mkuu pamoja sana

 
Mkuu Tatzo Watanzania wakiambia ukweli wanakuja juu sana, haina haja ya kukaa kudanganyana wakati tunaangamaia, Ya unacho sema ni ukweli sisi tumejikita katika biashara ya uchuuzi, Ila investment kubwa na zenye tija kama wanazo fanya wakina Malila hizo hapana,

Kuhusu Tex kuwa makampuni hiyo ni kweli kabisa na haiko mbali sana, kwani hujaona kwenye Dalala imeisha anza wanataka ziendeshwe na makampuni na si kila mtu anakurupuka na kununua Basi, Kwani ulitegemea Vi Haice vingeondolewa katikati ya Jiji? hata hayo Mabasi bado yataondoka na yatatakiwa masi makubwa zaidi kama haya yanayo enda mikoani tena babasi yenye hadhi siyo ya kuchonga body,

LAKINI PAMOJA NA HAYO SI ZANI KAMA KUNA WATANZANIA WANAO ENDESHA BIASHARA ZA DALADALA WANALIONA HILO, HAKUNA TUMEJIKITA KUKUSANYA PESA TU LAKINI KUINVEST KWA AJILI YA MIAKA 10 IJAYO HAPANA,

- Na hata haya mabasi yaendayo mikoani kwa baishara wanazo fanya bila ubunifu hawatakua na muda mrefu, tumejikita sana kukusanya fedha kuliko kuboresha huduma ndo culture yetu,

MFANO JANA NILIINGIA MINSUPERMARKET MOJA YA HAPA ARUSHA, KWA KWELI UNAWEZA KULIA, WAHUDUMU WAKO BISE NA MAGAZETI YA UDAKU, UNAWAULIZA KITU MARA NNENE, WANAKUONA KAMA UMEENDA KUOMNA MSAADA DUKAN MWAO, ILA KUNA HAWA WAKENYA WANATAKA KUFUNGUA SUPERMARKET YAO KUBWA KULIKO HATA SHOPRITE, NAPENDA WAJE ILI WATANZANIA TUFUNGE ZETU NA TUJIFUNZE BIASHARA ZINAVYO FANYWA NA SI KUCHUKU VIDADA MTAANI UNAWEKA DUKANI HUJAVIPA ELIMU YOYOTE VINABAKI KUPAKA WANJA DUKANI BADALA YA KUWAHUDUMIA WATEJA,[/COLOR]

Mkuu pamoja sana

[/B][/SIZE][/QUOTE]
komandoo nadhani mnahitilafiana padogo tu na wana jamvi baadhi hapa wengi hawana tatizo na maelezzo yako, hata mimi ccna tatizo kabisa unachosema ni sahihi kabisa, lakini swali ni je hawa watu akiwemo ndugu yangu mleta hoja wana elimu hiyo? wanajua mambo hayo kweli na jinsi ya kufanya biashara endelevu na bora? mtu kwa mfano mtu anahtaji afungashe biashara yake vizuri ifanane na hiyo kutoka south africa, ataanzia wapi? hajawahi kuwa exposed katika suala hilo wala hana hata elimu ya hiyo, ataifanyaje?

Unajua kufanya kitu ni eidha umepata shule au umekaa na mwenye uzoefu kisha ukapata ujuzi wa ziada, watazania si wa kulaumiwa sana wengi wetu ndo misingi tuliojengewa, yaani mibovu, elimu yetu inawaandaa watu kuwa waajiliwa na si wabunifu, inawaandaa watu kuwa wategemezi na si wanaojitegemea. nchi haijajengwa katika misingi ya kufanya kazi kwa juhudi na uadilifu na kitaaluma. nahii ndo sababu unaona hakuna uadilifu wa kitaaluma "professionalism" tanzania. wote wanakimbilia siasa na kila msitakabali wa nchi hata unaohitaji uweledi wa kitaaluma utaamuliwa kisiasa.

Mfano: Elimu ya tanzania ambayo ndio msingi wa kila kitu na maendeleo na ustawi wa jamii bado inachezewa na wanasiasa wapuuzi wa tanzania, watoto wanafeli, mitaala mibovu hakuna anayeshituka, faluires ndo wanaandaa bright people to take the nation is it possible kweli watanzania wakalaumiwa kwa kuwa na biashara ambazo si sustainable?

MUNGU IBARIKI TANZANIA.
[/SIZE][/FONT][/COLOR]
 

Mkuu KOMANDOO kimsingi hakuna anayepinga theory zako, zimejaa kwenye vitabu kibao
Tatizo nimesema ni namna yako ya kushauri, hivi toka uzi huu umeanza umeshauri nini zaidi ya kulalamikia watanzania wajinga kibishiara?

Nilitegemea ungemshauri mleta mada jinsi ya kufanikisha biashara zake lakini sasa unaanza kama kejeli na kukandia kwa mifano ya akina bill gate hapa
Unajua kuna wamerekani wangapi wamefanikiwa kama Dell au bill gate? ni asilimia ngapi ya wamarekani? je unajua rate ya kuanzisha na kufa kwa biashara marekani?

Hizo theory zinakubalika sawa duniani kote lakini ina depend na mambo mengi mmno na sio rahisi kama unavyoweza kuwa unaelezea hapa
Kama unamshauri mtu basi be specific lakini kuanza kuchukua theory za vitabuni ku criticize biashara za wenzako sio mpango

Huna haja ya kuacha kuchangia humu mchango wako ni muhimu sana ila kuwekana sawa pia ipo, hatupingi usemacho tunatatizwa na namna yako ya kushauri, maana kuna watu wanajua mambo lakini badala ya kushauri mambo yaendeje wao wanalaumu tu kwamifano

Nimeona sredi zako kadhaa unaandika ushauri vizuri tu mkuu lakini kwenye uzi huu hujaitendea haki taaluma yako
 
Last edited by a moderator:
Kuna tabia imeibuka jf yani mtu ukiongea ukweli halisi watu wanakuchukulia ni hater nakubali mchango wa komandoo ni +ve,wewe cmoney unaonekana mtoto sana unapinga hata ukweli,cashmoney wenzako wana project endelevu na si za kubeep.
 

Mkuu theory ni ipi hapo? Naomba uniambie nilicho ongea ambacho ni theory, Kwani wakina michael dell ni theory? ok Tuachane nao hao turudi Tanzania kwetu make hao WAZUNGU KWANZA HAWATUJUI SISI,

Chukulia Mfano wa Azam, Juice, Nazi, Ice cream na kazalika, yule jamaa si kwamba anatafuta pesa yeye ana angalia soko na anapredict kwamba hiki kitu kinaweza kuwa na manufaa kwa jamii bila kujalisha kitamletea pesa au la, that is wahy JAMAA ANAKUWA ANAKUJA NA AIDEA TATA SANA ALIKINI ZENYE IMPACT KUBWA SANA KWA JAMII,

MKUU TUNAPO JIANDAA KUINGIA KWENYE BIASHARA INGIA KWA KUANGALIA JE HIKI KITU KITAKUWA NA MANUFAA KWA JAMII? PESA NI MATOKEO YA AIDEA YAKO KUKUBALIWA, THAT IS WHY NASEMA WAKINA MICHAEL DELL WAO HWAKO FOCUS KWENYE PESA,

NARUDIA KUSEMA KITU AMBACHO KITATUGHALIMU MAISHA NI HIKI CHA KUTAGETI PESA/FAIDA KWANZA, LEO HII KIAJANA ANAFUNGUA SALUNI YA KUNYOA NYWELE MUULIZE ANA NDOTO ZIPI NA HIYO BAISHARA, ATAKUAMBIA ANATAKA KUPATA PESA AJENGE NYUMBA YA KUISHI AU ANUNUE GARI,

WATANZANIA WENGI LEO HII TUNASHINDWA KATIKA BIASHARA KWA SABABU TUMETAGETI PESA KWANZA NA HUDUMA NAADAE,

MFANO: KAMPUNI NYINGI ZA UJENZI ZA TANZANIA ZINA MIAKA 20 ZINGINE KUMI NA LAKINI MPAKA LEO HII WALIKUWA HAWAJUI WANAFANYA NINI KWA SABABU WAO WALIJIKITA KWENYE PESA NA HAWAKUJIKITA KWA LONG TERM INVESTMENT MATOKEO YAKE WACHINA WANAWAPIGA BAO, WAMEBAKI KULIA SERIKALI IWASAIDIE,

MFANO: CHUKULIA IMARA SEKO SUPERMARKET, HUYU MTANZANIA ALIPASWA ASHINDANE VILIVYO NA WAKINA SHOP RITE NA WAKINA UCHUMI SUPERMARKET, LAKINI YUKO WAPI LEO HII? NA YEYE AILAUMU SERIKALI?

NDO MAANA NIKASEMA IMEFIKA WAKATI KWA FAIDA YETU NA WATANZANIA WENZETU TUWEKEZE KWENYE MIRADI MIKUBWA NDO PEKEE ITAKAYO TUFANYA TJITUTUMUE KUSHINDANA NA WENZETU,

MKUU MIMI HUWA HAININGII AKILINI GREAT THINKER ANAKUJA NA AIDEA ZA KITOTO HUMU NDANI, ETI NATAKA KUFUNGUA SALOONI NAOMBA USHAURI,

SO TUANZISHE BIASHARA LAKINI TUTAGETI MIAKA KUMI, ISHIRINI IAJAYO WAKUU, UTAJIRI UTAKUWA NI MATOKEO YA WEWE KUTOA SERVICE ILIYO BORA, PESA ITAKUFUATA TU, UTATAFUTWA HATA UKIWA WAPI

MWISHO, MIMI SIJAPONDA AIDEA YA JAMAA, ILA NILIMSHAURI, NA NDO MAANA TUKO WENGI HUMU TUSIKAE KUPEANA USHAURI UNAO FANANA,
 
Mkuu huwa nakubali sana michango yako imejikita katika hali halisi, tatizo ni sisi watanzania hatutaki kubadilika, Ni sisi tu ndo tumebaki tunafanya primitive business tukizani ndo biashara, Dunia imebadilika sana, kuna ushindani mkubwa sana
 
The best ushauri ever.
 

Huo mkaa wewe hupendi ukupatie faida kubwa zaidi?

Na kuutoa mkaa huko ulipo hadi Dsm nitatumia sh ngapi kuhonga maafisa maliasili na polisi uchwara barabarani?
 
Mh. Awali ya yote nime guswa sana na Mchango wako kuhusu biasha ya Mkaa.

ni kweli kabisa sisi kama vina tuwe wazi kwa kuwa na mitazamo nyanya nasiyo mtazamo hasi ndio maana kila siku tunabaki kupiga kelele tu bila mafanikio.:lock1:

Tujiulize tuanataka nini?:iamwithstupid:

Kisha tunataka kuwa na maisha gani? :violin:

Naombeni jibu kwa wale wenye kutaka maisha bora na yenye dhamani bora kwa maisha yao.:der:

Kwa leo Ahsanteni sana:israel:
 
Komandoo nimekukubali kwa ushauri wako!kuleta mabadiliko hasa ya kifikra siyo kazi rahisi!kwenye kurekebishana turekebishane huku kwa pamoja tukiwa na dhamira ya kujenga zaidi.
 

Nadhani kikubwa ndo hiki nilichokuwa nataka kujua a positive criticism...sikatai Watanzania tumekosa ubunifu na ndo kitu kinachotuumiza..pia pamoja na kushika theory nyingi za biashara tatizo hata malecturer wetu wamekosa sana kutupa practiability ya tunavyosoma nimeona thread zako humu za mbele umeongelea mambo biashara,kama marketing,packaging processing ambacho kweli ni kitu kinachotuangusha...ntakuwa mnyimi wa fadhila niaipokubali michango yako tatizo tulianza in the wrong foot na nadhan nia ya ya hili baraza ni kufikishana pale kwenye nchi ya ahadi hata kama kwa kuhitilafiana.......
 
Kuna tabia imeibuka jf yani mtu ukiongea ukweli halisi watu wanakuchukulia ni hater nakubali mchango wa komandoo ni +ve,wewe cmoney unaonekana mtoto sana unapinga hata ukweli,cashmoney wenzako wana project endelevu na si za kubeep.

Ah ah dah naona the big man umeamua kuapply psychology kabisa na kunipa umri....haya bana yote heri maana si tunaona hawa wazee wetu walipptufikisha...ngoja nitaman kuwa mtoto...tatizo mdau KOMANDOO wala sina tatizo naye nadhan angeanzisha thread yake na ushauri aliouweka nisinge fika pale...ila unajua uahauri alioa za nao imagine una kabiashara kako uneshatupia mtaji af mtu anakwambia huwezi fika kokote huwa inavunja moyo kwan huyu mtu ameshatake risk kibao.
..mwisho wa siku i hope sijamkwaza mtu na wala sio mtu nnayesema chungwa nikiona yai........
 
Last edited by a moderator:

popular;3912027
tutafutane mapema kwa namba 0715381371 ;iwekanavyo tuzungumze **** biashara imekwa inahitaji jack-up , mazungumzo mazuri tu yatakuwepo
 
Kukubaliana kutokubaliana ndo msingi wa kujenga. Mambo yanayoongelewa hapa ni ya msingi sana, sema tuko kwenye levels tofauti za uelewa, lakini pia za ujasiliamari. Mimi nimenufaika sana na mabishano haya, and I am more educated in business than before.
Naenda kufanya mapinduzi kwenye biashara yangu kutokana na haya mliyojadiri hapa. Ahsanteni
 

Jamaa wewe unaona mbali sana
 
Mkuu katika hiyo bei kuna ushuru wa serikali kuu 8700 kwa gunia na ushuru wa serikali ya mtaa 1000 kwa gunia umeshalipa ili nipate kibali cha kusafirishia
 
Mkuu Kileghe ingekuwa vyema ukacheki tarehe aliyopost wiseboy (zaidi ya miezi26 ilyopita) ndo upate kuchangia.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Kisima aksante,ila kama 2012 ilikuwa hiyo bei leo ni kiasi gani
 


there u r mkuu,komandoo ana present a very sensitive issue!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…