Kuna mtu fulani ni fundi ujenzi anaamini sana katika uchawi ukimpa mchongo wa kazi lazma apande basi akaroge ili amteke boss safari hii wamempiga hadi chale za usoni π ili awe na mvuto (nyota)
Tujifunze kuamini ubora wa kazi unaongea, kizuri kinajiuza na kuonekana kama kazi yako haina ubora usidhani kama utahitajika. Na pia kumuanini Mungu mgawa ridhiki