Uhakika Bro
JF-Expert Member
- Mar 29, 2022
- 3,644
- 4,315
Mbona jiji la Dar tayari linatawaliwa na bodaboda.Kila siku ooooh!
Bodaboda ni hatari, sijui bajaji usalama barabara imefanyeje.
Swali ni je, tukiweka wilaya moja ikawa na bajaji na bodaboda tu na baiskeli. Wao ndio wanadeal na traffic. Wao ndio wanadeal na usafirishaji kila kitu. Afu tuone je?
Umahiri na ufanisi wa usafirishaji kwenye hiyo wilaya/mji upoje?
Usalama upoje?
Uchafuzi wa mazingira?
Kiuchumi, matumizi ya mafuta?
Kipi wamefeli?
Walishapewa huo utawala na CCM, na wakapewa jina "Maafisa usafirishaji"Kila siku ooooh!
Bodaboda ni hatari, sijui bajaji usalama barabara imefanyeje.
Swali ni je, tukiweka wilaya moja ikawa na bajaji na bodaboda tu na baiskeli. Wao ndio wanadeal na traffic. Wao ndio wanadeal na usafirishaji kila kitu. Afu tuone je?
Umahiri na ufanisi wa usafirishaji kwenye hiyo wilaya/mji upoje?
Usalama upoje?
Uchafuzi wa mazingira?
Kiuchumi, matumizi ya mafuta?
Kipi wamefeli?
Tuiangalia kwa angle ya hivyo, yas.Walishapewa huo utawala na CCM, na wakapewa jina "Maafisa usafirishaji"