Tufanye jee kurudisha hadhi ya kiume?



Mzee kwenye performance hata ukifanya maandalizi kama ya Brazil inavyojiandaa na kombe la dunia,kama mwili wako upo unfit kutokana na unhealthy eating habits,performance na satisfaction lazima iwe low.

Ni heri msisitizo utiliwe kwenye masuala yote mawili. Yaani healthy eating and living na foreplay ya kutosha.
 
Hata wakiwa kitandani kama bado wanalala pamoja.

Waweza lala na mtu kitanda kimoja hata salam msipeane.

Hata hivyo wengi wanaokula hovyo hovyo ni walevi pia, sasa sijui unamwambia vipi mtu aliyerudi saa sita za usiku mwenyewe ushajichokea zako na yeye ananuka mipombe yake "jamani baba nanii/mpenzi unahitaji mazoezi!!"

Hiyo inatokana na watu kujiachia , kuchokana na kutotiliana tena maanani. Yani mkishaanza kufanya hilo tendo kama 'jukumu' hamna atakaejishughulisha sana. Mnakua wale wa "embu amalize, ngoja nimalize fasta" badala ya kufikiria kufurahishana na kuridhishana.
 
mimi naona huu ni uzembe wa mtu mwenyewe na ndo maana magonjwa siku hizi yameongezeka sana. Pia kuna ulimbukeni wa mtu, hivi unakuta mtu anenda kununua nyama supermarket kweli ni sawa hii??? mtu ananunua miozo ya chakula supermaket cjui kuku au beef na hajui imekaa mda gani pale???au ni ili kuonekana umenunua vitu supermarket na wewe?? tuache ushamba na tubadilike, bucha mbona nyingi sana???au si uende sokoni ununue kuku wakuchinjie pale ukiona???kwanini watu hawajipendi jamani???
 
Kweli wanaume wengi wa siku hizi wametuna tuna ovyo..kutwa nyamaz, beer na kwenye magari hata jogging hawawezi. Matumbo makubwaa!
Kabisa kabisa hata mimi niliwahi kuwa hivyo lakini nimepiga jogging sasa niko fit.
 


Binafsi nasisitiza lishe iwe nzuri na ya mpangilio maalum !!!
 
he he he, afu ujue wanamme wakinenepa sana silaha zinakonda.
Wee angalia wanamme wenye masaburi makubwa.

Pole zao, mie sila siku uwanja wa mazoezi.
 
kwa wanaohitaji mafuta ya kupunguza strech marks ntawapa
hakuna kitu inaboa kama mwanamme ana strech mark.

Kabisa kabisa hata mimi niliwahi kuwa hivyo lakini nimepiga jogging sasa niko fit.
 
Wanaume bana!! Kila siku mnatupigia kelele mkijisifu na hiyo supu ya pweza, au na yenyewe ishakuwa sugu mwishowe??
 
Kula vyakula vya asili na mazoezi kwa wanaume ni silaha lakini vipi mama ambaye hatoi ushirikiano kwa mume wakati wa tendo? Eti unahangaika kumridhisha akifika safari yake basi unaachwa njiani,binafsi huwa najisikia rijali pale mama anapofika kileleni kabla sijashusha mzigo ila wamama wanakuwaga wagumu kutoa ushirikiano,utaambiwa nimechokaa bwana! Huu nao ni uzembe wa kina mama ndiyo maana wababa wanachomokaga kutafuta cha upepo ili warizishwe.
 
Mmeishiwa nguvu za kiume mkienda kwa wake zenu mnapiga kimoja cha sekunde kumi kwa nyumbandogo mnajitahidi mpka bao nne
 

Hivo hivo...!
 
Pole sana inaonekana mumeo ana bonge la tambi mkurupue siku mojamoja awe ankimbiza upepo
 
mtu ana kitambi kikubwa tu halaf ni kijana...jamani wananikera sana,pia kula ovyo michemsho,noa na bia....mazoezi hakuna,unategemea nini??hata kukimbia inakushinda mwanaume????

kama angetile osiah wa tff, tumbo hiiilo, eti kiongozi wa michezo. Sasa amelazwa hospitali, presha juu.
 
Kabisa kabisa hata mimi niliwahi kuwa hivyo lakini nimepiga jogging sasa niko fit.

Umeona tofauti eeh, hata pumzi utakuwa unavuta vizuri sasa..ofcourse na performance nzuri🙂)


Pole sana inaonekana mumeo ana bonge la tambi mkurupue siku mojamoja awe ankimbiza upepo

Mume bonge bonge wa mifuta hataishi vizuri kwenye mji wetu..nitampigisha zoezi achanganyikiwe! subiri nimpate
 
Sasa wewe ulijuaje kwamba mabonge hawawezi kushughulika wakati ujawahi kuwa na bonge au unasikiliza habari za kuambiwa@belinda
 
Sasa wewe ulijuaje kwamba mabonge hawawezi kushughulika wakati ujawahi kuwa na bonge au unasikiliza habari za kuambiwa@belinda

Nawaona wengi mitaani walivyo bonye bonye pia storiz na watu wa karibu walioolewa..inaelekea na wewe ni mmoja ya wanaume mibonge, hebu zingatia afya na shughuli uiweze ili mamsapu akufurahie uaname wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…