Karimu5
New Member
- Jan 2, 2013
- 3
- 1
Naomba waalimu wenzang tuwe mstar wa mbele katka kuhakikisha kuwa tunalikomboa taifa letu kwenye mikono ya wachache wanaojiona wao ndo wamepata elm bora kwa kutoa kile tulichopatiwa vyuon na jkt ukizngatia na ajira yenyewe tumesubria kwa mda mrefu...nawatakia mwanzo nzur wa kaz hii ya ualmu..