Tufanye kazi kwa bidii walimu wapya sababu tumesotea sana ajira.

Karimu5

New Member
Joined
Jan 2, 2013
Posts
3
Reaction score
1
Naomba waalimu wenzang tuwe mstar wa mbele katka kuhakikisha kuwa tunalikomboa taifa letu kwenye mikono ya wachache wanaojiona wao ndo wamepata elm bora kwa kutoa kile tulichopatiwa vyuon na jkt ukizngatia na ajira yenyewe tumesubria kwa mda mrefu...nawatakia mwanzo nzur wa kaz hii ya ualmu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…