Kisesa2022
Member
- Aug 19, 2022
- 18
- 11
Elimu ni njia ambayo hutumiwa makusudi na jamii kupitisha maarifa, ujuzi na maadili kutoka kwa kizazi kimoja hadi kingine. Elimu husaidia mtu kuelimika ,kujitambua , kuchukua hatua na kufanya mambo sahihi na yasiyosahihi ili kuleta maendeleo katika jamaii husika kwa zingatia maadili ya mtu mmoja mmoja na kabila husika bila kujali udini wa mtu na mtu.
Husaidia kuleta maendeleo ya mtu mmoja mmoja na jamii kwa ujumla; mtu anakupokuwa na elimu husaidia maendeleo ya jamii kwa kutoa elimu mbalimbali katika jamaii na hupoteza mila mbaya , mfano kuna baadhi ya jamii inawaza mila potofu katika familia kwa hunyanyasaji mtoto wa kike kwa jamii ya masai, ila masai mmoja akipataelimu kuondoa mila mbaya kwa kutoa elimu kwa chifu na uongozi wa juu wa kabila lao.
Husaidia Kupunguza masikini; elimu ni husaidia kuondoa umasikini katika jamaii . mfano katika familia ya umasikini mtu mmoja amesoma hivyo basi husaidia wengine kufika malengo yao na umasikini upungua sababu ya maendeleo ya mtu mmoja mmoja katika familia aliyosoma kuinua mwingine na mwingine kuinua mwingine.
Kuongeza umasikini ; mtu hasipokuwa na elimu basi anawaza mawazo tofauti na mtu aliyesoma. Mfano mtu asiyesoma huwa mawazo yake ni hasi muda wote na kutengeneza umasikini kwenye maisha yake hana kitu kikubwa cha kuwaza.
Kukosa heshima katika jamaii; mtu kama hana elimu kila mmoja anamzalau sababu hana elimu. Mfano mtu akiwa na elimu katika familia ndio anakuwa kiongozi wa familia bila kujali umri au tabia zake ,wanachojali uwezo wake kwenye familia.
Ongezeko la hukosefu wa ajira; mtu kama hana elimu ya kutosha hawezi kufanya kazi kwa kujiajiri au kuajiriwa hivyo basi kupelekea hawezi kuwa sawa na mtu aliyesomea na kupata elimu katika mambo mbalimbali . Mtu asiyesoma hana uwezo wa kufikiri chanya siku zote huwaza hasi.
Kasi ya kukua kwa uharifu na biashara ya dawa za kulevya; Mtu hasipokuwa na elimu basi hana uwezo wa kufikiri chanya . Hivyo basi hataingia kwenye kikundi visivyofaa vya uharifu kama vile wizi kuvuta bangi ,sigara na kunywa pombe na kufanya biashara ya madawa ya kulevya sababu ya kuingiza kipato.
Elimu ya Tanzania ni elimu ambayo inafanya mtu kuajiriwa sio kujiajiri. Hunaona mtu husoma darasa la kwanza hadi chuo kikuu ila hana uwelewa na ufahamu wa kitu alisomea pia hana uwezo wa kujiajiri mwenyewe kwa kutumia uwezo ,ubunifu na uvumbuzi wa elimu aliyopata shule kufananisha na mtaani au elimu harisi au vitendo.
Serikali iweke mfumo rasmi ya elimu ambayo itamjenga mtu katika kupata ajira na kazi kulingana na mfumo huo upo kwenye mfumo wa ajira kwa kuzingatia ujuzi na uwezo wa mtu. Serikali iweke mtaala bora wa kujifunza kulingana na wanafunzi na ngazi ya elimu hiyo sio kufata mfumo ambayo sio sahihi kwa mtu kwenye mfumo wa ajira.
Kutumia lugha moja ya kufundisha; Ili kuwa na elimu bora nchi ya Tanzania inabidi kutumia lugha moja mfano mwalimu akitumia kiswahili Kwanzia elimu ya awala hadi chuo kikuu, inafanya mwanafunzi kuelewa vizuri na kupata ujuzi na uelewa zaidi, kama wakitumia lugha ya kiswahili Kwanzia mwanzo hadi mwisho ni vizuri kutumia ili kufanya mwanafunzi kuelewa vizuri , sababu kiswahili ndio lugha yetu ya kuzaliwa nayo.
kujifunza kwa vitendo katika ngazi zote; Mwanafunzi akisoma kwa vitendo Kwanzia ngazi ya awali hadi chuo husaidia yeye kupata kuajiari , mfano elimu ya vitendo iwe shule ya Msingi hadi chuo kikuu na kufanya kutengeneza ajira nyingi kwa mwanafunzi na Kupunguza tatizo la kukosa ajira na kufanya mwanafunzi kujiajiri na kuajiriwa.
Kuzingatia ubunifu na kupaji cha mtu; Ili kuwa na elimu bora kuzingatia ubunifu wa mtu mmoja mmoja kwa kuangalia kipaji cha mtu anakipenda na uendeleza kwa kufanya mazoezi ya vitendo na kuwa bora zaidi, mfano zamani kulikuwa na somo la stadi za kazi, somo ilo lilijenga mtu kwa kufanya vizuri zaidi kwa kujifunza mambo mbalimbali kwa vitendo ilo linaboresha sana elimu. Mfano Zamani mtu darasa la nne anaweza kufanya kazi tofauti na sasa mtu hamemaliza chuo hajui chochote kile kwenye hufahamu wake.
Kuanza umri sahihi wa kusoma shule; Tanzania au serikali hiweke umri sahihi wa kuanza shule sababu mtu akianza shule bado mdogo anaenda kukua tu shuleni kuliko kujifunza sasa hivi mtoto anawahi kuanza shule bado umri mdogo upelekea kushindwa kuelewa zaidi nini afanye na kwa wakati gani na kufanya kushuka kwa viwango vya elimu Tanzania.
Kwa ujumla, Kwenye dunia ingekuwa haina elimu , watu wangekuwa hawana nguzo za dini na elimu kwenye mtazamo wa sayansi, utamaduni, teknolojia au uvumbuzi katika kupata watu au jamii iliyoelimika zaidi katika dunia.
Faida ya elimu ambayo ni;
Husaidia mtu kuwaza chanya ; mtu akiwa na elimu kuwaza changa muda wote wakati wote na kufanya Kupunguza mambo ambayo yasiyofaha katika jamaii husika kulingana na mila na desturi za watu hao.Husaidia kuleta maendeleo ya mtu mmoja mmoja na jamii kwa ujumla; mtu anakupokuwa na elimu husaidia maendeleo ya jamii kwa kutoa elimu mbalimbali katika jamaii na hupoteza mila mbaya , mfano kuna baadhi ya jamii inawaza mila potofu katika familia kwa hunyanyasaji mtoto wa kike kwa jamii ya masai, ila masai mmoja akipataelimu kuondoa mila mbaya kwa kutoa elimu kwa chifu na uongozi wa juu wa kabila lao.
Husaidia Kupunguza masikini; elimu ni husaidia kuondoa umasikini katika jamaii . mfano katika familia ya umasikini mtu mmoja amesoma hivyo basi husaidia wengine kufika malengo yao na umasikini upungua sababu ya maendeleo ya mtu mmoja mmoja katika familia aliyosoma kuinua mwingine na mwingine kuinua mwingine.
Hasara za kutokuwa na elimu ambayo ni;
Mila mbaya au mila potofu ; mtu hasipokuwa na elimu basi mtu huwa na mila ambazo hazina msingi na kusababisha kufanya mambo yasiyofaha kama kufundisha mila ambazo hazikutamburiki katika jamii.Kuongeza umasikini ; mtu hasipokuwa na elimu basi anawaza mawazo tofauti na mtu aliyesoma. Mfano mtu asiyesoma huwa mawazo yake ni hasi muda wote na kutengeneza umasikini kwenye maisha yake hana kitu kikubwa cha kuwaza.
Kukosa heshima katika jamaii; mtu kama hana elimu kila mmoja anamzalau sababu hana elimu. Mfano mtu akiwa na elimu katika familia ndio anakuwa kiongozi wa familia bila kujali umri au tabia zake ,wanachojali uwezo wake kwenye familia.
Ongezeko la hukosefu wa ajira; mtu kama hana elimu ya kutosha hawezi kufanya kazi kwa kujiajiri au kuajiriwa hivyo basi kupelekea hawezi kuwa sawa na mtu aliyesomea na kupata elimu katika mambo mbalimbali . Mtu asiyesoma hana uwezo wa kufikiri chanya siku zote huwaza hasi.
Kasi ya kukua kwa uharifu na biashara ya dawa za kulevya; Mtu hasipokuwa na elimu basi hana uwezo wa kufikiri chanya . Hivyo basi hataingia kwenye kikundi visivyofaa vya uharifu kama vile wizi kuvuta bangi ,sigara na kunywa pombe na kufanya biashara ya madawa ya kulevya sababu ya kuingiza kipato.
Ukosefu wa pesa unathari vipi elimu ?
Ukosefu wa husawa wa jamii; pesa ina athari kubwa katika elimu kwa sababu mtu akiwa na elimu anaweza kupata pesa na pesa hizo zinanyanyasa wengine katika jamii kwa kuhunda matabaka ya watu wenye pesa na elimu. Mtu hasipokuwa na pesa pia hawezi kusoma sababu elimu ni pesa bila pesa uwezi kupata elimu.Elimu ya Tanzania ni elimu ambayo inafanya mtu kuajiriwa sio kujiajiri. Hunaona mtu husoma darasa la kwanza hadi chuo kikuu ila hana uwelewa na ufahamu wa kitu alisomea pia hana uwezo wa kujiajiri mwenyewe kwa kutumia uwezo ,ubunifu na uvumbuzi wa elimu aliyopata shule kufananisha na mtaani au elimu harisi au vitendo.
Njia gani zitumike ili Kuboresha elimu yetu Tanzania ambazo ni;
Kuboresha mitaala ; elimu ya Tanzania ni aina thamani kabisa kwa sababu kwanzia darasa la kwanza hadi chuo kikuu huwa mwanafunzi husoma ili kujibu mtihani tu sio kupata uelewa na kujifunza mambo mbalimbali lakini mtaala ukibarishwa na kuwa mwanafunzi kujifunza kwa vitendo na kutoka ujuzi ambayo atakaohupata na kujiajiri mwenyewe kwa kutumia ujuzi huo. Serikali iweke mfumo rasmi ya elimu ambayo itamjenga mtu katika kupata ajira na kazi kulingana na mfumo huo upo kwenye mfumo wa ajira kwa kuzingatia ujuzi na uwezo wa mtu. Serikali iweke mtaala bora wa kujifunza kulingana na wanafunzi na ngazi ya elimu hiyo sio kufata mfumo ambayo sio sahihi kwa mtu kwenye mfumo wa ajira.

Upvote
0