crankshaft
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 1,427
- 3,438
Taifa lenye watu 60m msanii akatoa albam akauza hata kwa alfu 3 kwa 1% ya watu wote nchini ambao ni kama watu 2m anaweza kupata kitu kama bilion 6,kiasi ambacho sidhani kama kuna msanii anamiliki hapa bongo. hii itawapa hamasa wasanii wetu kuongeza ubunifu, watu kuichukulia sanaa kama kazi inayolipa,wasanii wetu wataacha kutumika na wanasiasa kwa sababu ya njaa, n.k
leo hii hebu angalia steven kanumba pamoja na umahili wake wote na umaarufu aliokuwa nao lakini hakuna cha kujivunia kutoka kwake wakati akina michael jackson wanaingiza mabilioni ya pesa huku wakiwa marehemu.
leo hii msanii wizkid wa nigeria huwa anajeuri ya kukataa kuwaimbia wanasiasa kwa sababu ana kipato cha kutosha tofauti na akina diamond.
tufanye nini sasa ili sanaa ya nchini kwetu iwe kazi inayolipa yenye kutengeneza ajira kwa vijana nchini kama kwa wenzetu marekani?