huyu ni kichaa au teja. mbona yupo hivyo?
Hii Style inaitwa KACHUMBARI!
Lizzy..
Aisee dahhuyu ni kichaa au teja. mbona yupo hivyo?
Toobaaaaaaaaaaaa!!!Sometime inakua ngumu sana kumwambia mtu afanye nini ili apendeze
Haswa pale anapokua kajiremba na kwa mtazamo wake yuko "smart"
japokua kwa mtazamo wa wengi sio.
Hivi unaweza vipi kujiweka smart kiasi kwamba kila atakae kuona
hata kama hata sema ila ndani ya moyo wake aseme "wow".
Na ni vipi unaweza kujiremba ili usiwe kituko na kikwazo mbele
za wenzako?
Nimeona hii picha nimepata maswali mengi sana.
Sio kwa wadada peke yao,hata wakaka hua wanakosea sana tu.
Tupeane darasa.
Eh?
come again.
She looks like that coloured arch sometimes seen in the sky opposite the sun when rain is falling.
This is what happens when women try to look extraordinarily beautiful but instead they end up looking extraordinarily out of space creatures.
Kafanya nini?
Sometime inakua ngumu sana kumwambia mtu afanye nini ili apendeze