econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
Kwa upendeleo unaona onekana Sasa kwa chama Cha CCM na ubaguzi dhidi ya vyama vya upinzani, hasa kwenye huu uchaguzi wa Serikali za mitaa nashauri ya kwamba ni muda Sasa watanzania waulizwe Kama tuendelee na mfumo wa vyama vingi.
Tunadanganyana kwamba tupo kwenye mfumo wa vyama vingi ilihali Dola na taasisi za uchaguzi zimelalia kwenye chama tawala.
Wananchi wapige kura tuamue moja. Tubaki na chama kimoja ili huu ujinga uishe. Au tukubali mfumo wa vyama vingi wenye marekebisho makubwa ya kikatiba na kisheria. Ila kwa Hali ya Sasa tunafanya unafiki mkubwa Sana kujidanganya kuwa na mfumo wa vyama vingi wakati sio kweli.
Kwa mfano msimamizi mkuu wa uchaguzi wa Serikali za mitaa Mh Mchengerwa alishatanganza hadharani ya kwamba viti vyote vitaenda CCM. Je unategemea atasimamia huo chaguzi kwa haki?.
Soma Pia:
Kuendelea kujidanganya kutasababisha siku moja watu waachane na uchaguzi wahamie kwenye mapinduzi ya kijeshi.