Mr Confidential
JF-Expert Member
- Jul 1, 2018
- 1,532
- 2,415
Wakuu, Heri ya Pasaka
Ni juzi juzi tu tumeanza mwaka 2024. Mwaka unakimbia kwa speed ya 6G
Mara nyingi huwa tunafanya review za mipango yetu mwisho wa mwaka, kuangalia nini tumefanikisha na nini tumeshindwa kufanikisha.
This time nimeona bora niwe nafanya review kwa quarter.
Kati ya malengo niliyoweka ni pamoja na haya ;
1. Financial goals (Saving every month >=600k)
2. Self Improvement (Reading books, 1 every week)
3. Health care improvement (eating health & body exercise at least 4 days per week)
RESULTS
1. Financial goals: Nina savings za 2M hadi mda huu naandika hii thread
2. Sijamaliza kitabu cha kwanza nlichoanza kusoma🙁
3. Kwenye health nimefanikisha kula balanced diet vizuri, Ila mazoezi sina consistency, on average ni 2 days per week
HEADING TO Q2
1. Financial goals: Saving threshold naweka 1M per month
2. Self Improvement : Kwa april ntasoma vitabu vitatu. May na june vitabu sita
3. Health care : naacha vile-vile 4 days body exercise
Karibuni kushare progress yako katika Q1 kama kuna mistake ambazo umefanya au vitu vizuri umefanya tusifunze kwa pamoja.
Mwenyezi Mungu akijalia uzima na afya, nitarudi End of Q2 Kushare progress
Depal Mshana Jr cocastic Mgalikoko Mad Max RRONDO The Knowledge Seeker Beberu Ncha Kali Joseverest