BIG THINKER
JF-Expert Member
- May 20, 2018
- 680
- 1,436
Siyo mazoea naongea nikiwa na mifano ya kutosha Toka nchi nying rais MADARAKA yake yakiwa madogo ni hatari mno, na yakiwa makubwa sana ni hatari pia.Unasumbuliwa na mazoea.
Hivyo vyombo vikiungana na kuamua kufanya ujinga Nan ataulizwa!?Rais abaki kama nembo ya Taifa tu, mengine yatafanywa na vyombo huru visivyofungamana na vyama vya siasa.
Unayajua mamlaka ya Rais? nadhani tuanzie hapo.Watu wanazungumza mengi kuhusu katiba mpya wapo wanaosema itakuwa mkombozi na itawatoa kwenye maisha magum...
Hili siyo swal la kumuuliza mtu, hakuna mtu hajui mamlaka ya rais kwa katiba ya Sasa namna anavyoweza kucheza namba zote Hilo liko wazi.Unayajua mamlaka ya Rais? nadhani tuanzie hapo.
Hiyo nchi ina tofauti gani na yetu?Hivyo vyombo vikiungana na kuamua kufanya ujinga Nan ataulizwa!?
Lazima awepo mtu mambo yakiharibika anyoshewe kidole, zipo nchi ziliwah kufanya huu ujinga familia Moja ikajipenyeza kwenye taasisi zote na hakuna mtu wa kusema neno juu Yao, walikoma wakampa mamlaka tena rais.
Mm nafkri hatuna haja ya kutukanana sisi wote ni watanzania nipinge kwa hoja siyo kunitukana nitakuona wa maana sana
Akili kubwa ipi, wajinga wanaamini wana akili nyingi sana.Kwenye rasimu ya Warioba kuna mambo ya kipuuzi sana ambayo kwa akili kubwa huwezi kubaliana nayo kabisa.
Ya kwetu ni makubwa sana.Siyo mazoea naongea nikiwa na mifano ya kutosha Toka nchi nying rais MADARAKA yake yakiwa madogo ni hatari mno, na yakiwa makubwa sana ni hatari pia.
Nchi gani hiyo, fafanuaHivyo vyombo vikiungana na kuamua kufanya ujinga Nan ataulizwa!?
Lazima awepo mtu mambo yakiharibika anyoshewe kidole, zipo nchi ziliwah kufanya huu ujinga familia Moja ikajipenyeza kwenye taasisi zote na hakuna mtu wa kusema neno juu Yao, walikoma wakampa mamlaka tena rais.