Tufanyeje kuboresha elimu ya tanzania,

ODILI SAMALU

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2013
Posts
1,369
Reaction score
489
Wakuu kuna hoja tulikuwa tunajadili kwamba ili kuboresha elimu ya tanzania vitu gani vifanyike? ,miundombinu,mishahara,au nin ahsanteni,
 
CCM itoke madarakani kwanza!hatuwezi kuwa na serikali ambayo kila waziri wa elimu anaingiza mambo yake aliyoshauriwa na mke
 
kuwapa walimu malipo stahili,elimu ya kutosha, elimu iwe ajira muhimu sio ukikosa kazi ndio ukimbilie elimu
Mishahara ya walimu hailingani na ugumu wa kazi yake,
 
Wakuu kuna hoja tulikuwa tunajadili kwamba ili kuboresha elimu ya tanzania vitu gani vifanyike? ,miundombinu,mishahara,au nin ahsanteni,

haahaahaa mkuu naona una anzisha thead nyingi lengo ni kujisafishaaa...nn

but elimu yetu bongo tumwachie mungu aiponye
 
Sina hakika kama sirikali haijui matatizo yanayoikabili sekta ya elimu Tz. Wanajifanya hawayajui kumbe wanajua tena kuliko hata sisi wananji ila wanafanya makusudi na siasa imetawala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…