Tufanyeje kukomesha hali hii?

Kaitaba

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2009
Posts
915
Reaction score
54

Hivi hii ni sawa? masuala ya kimagharibi yanazidi kutuaribia kizazi chetu, tufanyeje kukomesha hali hii,
 
Hivi hii ni sawa? masuala ya kimagharibi yanazidi kutuaribia kizazi chetu, tufanyeje kukomesha hali hii,
Kama ni kuharibika mbona hiyo toka zamani..??? Ubakumbuka enzi za kuvaa majani usawa wa uzazi tuu na kwa nyuma....?? Tena kwa wanawake matiti yalikuwa yanaachwa nje, sembuse hawa wameyafunika...!!!???
 
Na kwa mswati je?... ni u-magharibi?!:confused2:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…