Mohammed Hamad
JF-Expert Member
- Jan 17, 2011
- 3,988
- 1,308
jana nilkuwa nambwambie shori mmoja msomi.....kuwa watz mbumbumbu akili zao zimeenda jau.....kusoma sio lazima uajiliwe....common guys.....elimu zenu za kuunga unga udsm hamuwezi kushindana na wakenya etal tafuteni njia mbadala muwe wajasiriamali....Wanajf nimeona niilete hapa hii katuni ya Masoud Ali Al maaruf Masoud Kipanya ili tujadili njia stahiki za kuweza kupunguza kama si kumaliza tatizo la ajira kwa wasomi wazalendo.
Shukran kwa mchango wako.
jana nilkuwa nambwambie shori mmoja msomi.....kuwa watz mbumbumbu akili zao zimeenda jau.....kusoma sio lazima uajiliwe....common guys.....elimu zenu za kuunga unga udsm hamuwezi kushindana na wakenya etal tafuteni njia mbadala muwe wajasiriamali....
Yeah sio lazima kila mtu awe mwajiriwa..ila kama mbongo hajawekwa ofisini anaona ameshindwa!Sema ujasirimali nao sio wa kila mtu..kama mtu hayuko tayari kuhangaika zaidi ya aliyeajiriwa hawezi kua mjasirimali akafanikiwa!!Ofisi sio yako unaweza ukalemaa na bado mambo yakaenda..ila ukizembea kabiashara kako ndo basi!kusoma sio lazima uajiliwe..common guys...elimu zenu za kuunga unga udsm hamuwezi kushindana na wakenya etal tafuteni njia mbadala muwe wajasiriamali.
Kwahiyo unataka mtu mwenye MBA aitumie MBA yake kuuza vocha?
Halafu kuna waziri mwenye dhamana ya ajira, hivi hembu nielewesheni kazi yake hasa ni nini kwenye hiki kipengere cha ajira?
Elimu ya msingi mpaka chuo kikuu+masters ni kumwandaa anayesoma awe muajiriwa bora (best employee) na sio kua mjasiliamali,kwaiyo usimshangae huyo anaetaka kujinyonga kisa kakosa kazi though ana masters.:eyeroll1:
Nina wasiwasi na usomaji wake, mtu ajinyonge simply hajaajiriwa? aajiliwe na nani? yeye ataajili lini?
Kwa bongo mtaji mkubwa wa kwanza ni kuajiriwa sababu elimu yetu haifundishi mtu kujiajiri mwenyewe
Ujasiriamali ni option nzuri kuliko kuajiriwa,uko huru,unaweza fanya maamuzi yako kwa wakati wako,unaweza fanya mabadiliko kwa haraka pale inapobidi na hata kama mwanzo ni mgumu,una mapato mazuri kuliko ajira......kuna tu tendency ya watu kuona kuajiriwa ni kila kitu au lazima uajiriwe tu baada ya kumaliza chuo,tunakokwenda hilo ni gumu.....wanaosoma ni wengi opportunities katika soko la ajira ni chache,ni lazima watu wa take risk na kujiamini they can do without formal employment....Nafikiri ndo maana kila chuo sasa wanafundisha ujasiriamali..