Haina tofauti, Ila Mimi ninapoongelea kilimo bila udongo, namaanisha zaidi Mambo ya mbogamboga. Kwenye hydroponics nàfanya ile ya kuistawisha chakula Cha mifugo - hydroponics fodder.Nini tofauti ya kilimo Bila udongo na Hydroponic Farming? Kwa sababu naona umetaja hio kilimo bila Ufo go kama namba 1 na Hydroponic Farming namba 2
Soil less ndo hio hio Hydroponic na haijalishi ni mboga ni nafaka ni malisho au ni nini, ila ukitaja tu Soil less maana yake no HydroponocHaina tofauti, Ila Mimi ninapoongelea kilimo bila udongo, namaanisha zaidi Mambo ya mbogamboga. Kwenye hydroponics nàfanya ile ya kuistawisha chakula Cha mifugo - hydroponics fodder.
System za hydroponics kwa ajili ya mbogamboga Ni complicated na zinahitaji mtaji mkubwa. Lakini hii ya mifuko / ndoo ni rahisi Sana.
Kilimo bila udongo hapa namaanisha urban farming ambapo unaweza kustawisha mbogamboga bila udongo, hapa unatumia samadi, pumba, ndoo / magunia na maji ...Nini tofauti ya kilimo Bila udongo na Hydroponic Farming? Kwa sababu naona umetaja hio kilimo bila Ufo go kama namba 1 na Hydroponic Farming namba 2