ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Nimesikia yote kuhusu malalamiko baina ya wanandoa ila kubwa imeonekana tatizo ni watu hawapati watu sahihi Mimi nimeshuhudia mke sahihi atakayekupenda story yenu iwe kama ifuatavyo.
1.Umzidi umri kuanzia miaka 7-10.
2.Umzidi urefu kidogo sana
3.Umzidi elimu Na mafanikio
4.Atokee familia ya kilimo ndani ndani maisha ya kijijini
5.Uwe real kwake kwa week za mwanzoni za mahusiano umuonyeshe tabia zako halisi usimfiche
6.Unapokutana naye katika matembezi mwambie siku hiyo hiyo unataka umuoe
7.Kesho yake mtafute sana mkutane ukishafanya yako mkaribishe ndani
8.Anza mawasiliano Na mama yake Na kaka yake mwanamke
9.mambo yakiwa mazuri mkawa mnaishi zingatia sana misosi mke lazima apende sana kupika nunua kila kitu muonyeshe utofauti mgonge karibia kila siku mpaka umpe mimba fasta ndani ya mwaka lazima awe mpole
10.Kama unauwezo Wa kufanya harusi ya kawaida mnafanya tu kama pia mtaishi muishi tu ndo mkeo huyo changamoto zitapita mtazoeana mtapendana hawana gharama wakijijini stories zenu ziwe misosi tu.kwanini uishi mwenyewe mwanaume komaa wanawake wapo Na wanakuja Na upepo Wa bahati ila pia wapo wanaokuja kuharibu utawajua tu slay queens.