Ngoja wataalam wa hizi mambo waje, uzuri wa JF unaweza kusoma kitu walichosoma wenzako semister nzima lkn wewe ukakielewa kwa post moja tu, lkn kama vilevile utapenda kuelewa hii mambo offline basi nakushauri tembelea Golden Jubilee Tower Posta kuna wadau wanaitwa orbit security watajibu maswali yako kwa ufasaha kabisa