Kwa sasa Tanzania mikogo na madaha ya wanasiasa na hata viongozi mbali mbali wanatumia ununuzi wa ndege kama mafanikio ya Rais Magufuli.
Je, ni kweli kuwa serikali zilizopita hususani ya nne ukiacha ya tatu ilikuwa na mzigo wa madeni, hazikuwa na uwezo wa Kununua hizo ndege sidhani kama jibu ni ndio, ikiwa ununuzi wa ndege ndio mafanikio ya nchi tujiulize Nigeria ina ndege za umma na pia tujiulize ndani ya Nigeria kuna ndege ngapi na wanigeria wana ndege ngapi?
Na je kwa mfumo wetu wa uchumi ni mfumo upi ni sahihi wa kutumia kuimarisha usafiri wa Anga.
Pia tujiulize uamuzi kuruhusu Fastjet kuja kuwekeza kwenye usafiri wa anga wa ndani wa Tanzania na mashirika ulikuwa sahihi na muhimu? na je ni muhimu kumiliki ndege au kuwa na usafiri wa anga wa uhakika na affordable kwa wengi kuimarisha uchumi na kukuza social welfare ya watu wako ndani ya nchi.
Kwa miaka nenda rudi kupanda ndege nchini Tanzania inabaki kuwa ni ufahari na anasa miongoni mwetu,kwa nini iko hivyo natoa mfano huu miaka kama minnne au mitano iliyopita kampuni ya Auric ilianzisha route ya Ndege Njombe-Iringa-Dar.
Zile Charter zilikuwa ni za kutua hata kwenye nyasi lakini abiria ni 12 tu na gharama ya ticket (one way) ilikuwa takribani laki nne hivi.
Je, return ticket ilikuwa inakost ngapi? Tripu za mwanzo walipata wateja lakini ghafla walijikuta abiria wanapotea na mwisho route ikafa.
Je, tumetatua tatizo liliowafanya wafanyabiashara na watu wengine kuikacha auric na Auric kuachana na huduma hiyo kule?
Maamuzi ya kununua ndege inapswa kuwa ufahari au kutatua tatizo la usafiri wa anga Nchini Tanzania na je tumetatua kwa asilimia ngapi pale serikali zilizopita zililiacha.
Je, Serikali pekee yake inaweza kujenga viwanja,kuendesha hivyo viwanja na kumiliki ndege zikazo kidhii mahitaji ya Tanzania. Kiasi cha waziri wake kuongea kwa mikogo kifo cha Fastjet?
Je, tunauwezo kukimbizana na route za kimataifa na kushindana na mashirika makubwa na yenye uzoefu tukiwa hatuna uzoefu baada ya shirika kukaa muda mrefu bila kuwepo kwenye industry au hatukuona umuhimu wa kuimarisha na kujijengea kiuwezo kwa kuanza na tatizo la ndani ndipo tuende nje?
Hivi ni busara kuanza kupiga Nyumba yako ripu kwa nje ili hali hunauwezo wa kumalizia ndani na una nia ya kuhamia kwenye hiyo Nyumba mapema uepekane na kuishi kwa kupanga.Vipi bei ukiishiwa fedha na ndani hujupiga ripu.