Nasema leo kwakuwa umefika wakati sasa tumechokNakubaliana nawe kwamba muungano usiwepo. Sikubaliani nawe kwamba muungano unawanufaisha zaidi Wazanzibari. Jee hili la kuwanufaisha zaidi Wazanzibari limeanza 2021 au kabla? Ikiwa ni kabla ulikuwa wapi wakati huo hujasema, unasema leo?
Mkuu, unasema leo kwasababu kuna Mzanzibari. Siku akiondoka hutosema tena. Hivi ndivyo ilivyo.Nasema leo kwakuwa umefika wakati sasa tumechok
Ndio mkuu. Umechoka kwasababu pale juu yupo Mzanzibari. Wakati huo wote ulikuwa unafaidi matunda ya muungano kwa kuididimiza na kuidhulumu Zanzibar haikuwa inakushuhulisha. Ubarikiwe kwa ubaguzi.Nasema leo kwakuwa umefika wakati sasa tumechok