Jaman humu ndani Jukwaa letu lina watu wa kila rika, kabila, na jinsia tofauti. Tena ni jukwaa la kisomi ambalo linaonekana kuwa na uelewa na sifa ya ustaarabu, shukrani kwa waliotuanzishia kona hii, #kuna_baadhi_yetu tuna ghadhabu na kashfa, bila kujali wala ku 'edit' mawazo ya fikra zetu tuna 'paste' hapa jukwaani jamani kuna wengne tuna waboa! NI MTAZAMO TU JAMANI.