Kitengo cha siasa apewe Lucas Mwashambwa!Tugawe vitengo JF ili tuendelee kuifurahi.Mimi naanza:
1. Kitengo Cha habari: Pascal Mayalla
2. Kitengo Cha 'code'- Britannica
3. Kitengo cha nidhamu- mods
4. Kitengo Cha siasa-
5.
6.
7.
8.
9
10.Kitengo Cha usomaji - wengine wote
Kama haupo kwenye kitengo maalumu basi kuwa msomaji tu
Poppy hanton yeye anaenda kitengo kipi?Kitengo cha siasa apewe Lucas Mwashambwa!
Kitengo cha story za kutunga na chat gpt Equation xTugawe vitengo JF ili tuendelee kuifurahi.Mimi naanza:
1. Kitengo Cha habari: Pascal Mayalla
2. Kitengo Cha 'code'- Britannica
3. Kitengo cha nidhamu- mods
4. Kitengo Cha siasa-
5.
6.
7.
8.
9
10.Kitengo Cha usomaji - wengine wote
Kama haupo kwenye kitengo maalumu basi kuwa msomaji tu
Nipatie namba nikutumie salio kwa jfpesaKitengo cha story za kutunga na chat gpt Equation x
Nipatie namba nikutumie salio kwa jfpesa
Najua huji rudia kuleta useng£ wa chatgpt tenaNipatie namba nikutumie salio kwa jfpesa
Kilo moja ya mchele ina punje ngapi za mchele?Najua huji rudia kuleta useng£ wa chatgpt tena
Bila shaka mgao ulienda vema