Tuhabarishane kuhusu Chuo kikuu cha uhasibu Arusha (IAA)

Tuhabarishane kuhusu Chuo kikuu cha uhasibu Arusha (IAA)

The navi 2

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2013
Posts
352
Reaction score
46
ukiwa umepangiwa hapo niulize chochote ntakujibu sasa hivi
 
Mkuu sijui ndo umesoma hapo lakini hujui kama hicho ni taasisi tu na sio chuo Kikuu
 
nasubiri swali juu ya chuo kikuu cha uhasibu arusha
 
Hiyo research ya ubora wa library imefanywa na nani na/taasisi gani?
 
Ni chuo kizuri kwa upande wa taaruma na mandhari ya chuo ila tatizo ni jamii ya nnje ya chuo kuna uharifu wa kutisha! Kwa hostel za nnje wanavamiwa sana tena sana!
 
Back
Top Bottom