Hey,
Nadhani kuna uwezekano kuwa anytime kutakuwa na kazi kwa wabongo kule Buzwagi. Nasema hayo kwa maana makampuni makubwa ya kutangaza kazi yameanza kupost nafasi za juu za kuwapata exparts. So wale wajuao nini kinaendelea watuhabarishe kwa ufasaha