Tuhabarishane Mlioenda Saba Saba mwaka huu

Tuhabarishane Mlioenda Saba Saba mwaka huu

LICHADI

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2015
Posts
4,491
Reaction score
12,560
Wakuu na mpango wa kwenda kesho sabasaba, vp mliotangulia kutembelea pale, maonyesho yapo vizuri au yamedorora?

Viingilio vya mwaka huu navyo vipo vp, bei yake kwa wakubwa na watoto?
 
Kuna lundo la VI-WONDER 3,000 vilivyoanzishwa AWAMU YA TANO !
 
Kuna lundo la VI-WONDER 3,000 vilivyoanzishwa AWAMU YA TANO !
 
Kuzuri sana! Kama unatafuta bidhaa za jumla hapo umefika!
Kusema ukweli pamekucha haswa!
 
Kuzuri sana! Kama unatafuta bidhaa za jumla hapo umefika!
Kusema ukweli pamekucha haswa!
Asante mkuu ongeza nyama kidogo kuhusu maonyesho ya maliasili yapo vp na mambo mengine pia hebu tuhabarishe
 
Ni banda gani linalovutia zaidi kwa wenzetu ambao mmeshafika?
 
Back
Top Bottom