Jamani tunaomba nyie mliopo DAR mwendelee kutupa nyepesi za kesi hiyo kwani hakuna update baada ya 12/02/2009 baada ya BAGEN. tuendelee kwani tuna shauku ya kusikia wasemanyo watuhumiwa wengine, hakuna habari za MAKELE nadhani bado yupo kizimbani leo.