Tuhalalishe tu Katiba ya Warioba tumalize ubishi!

Tuhalalishe tu Katiba ya Warioba tumalize ubishi!

Yesu Anakuja

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2019
Posts
12,675
Reaction score
25,924
Ile katiba iliyotokana na tume ya Warioba, watu wengi wanakubaliana nayo na ilitumia gharama kubwa kwenye tume kukusanya maoni na kuiandika. hivi kwanini tusiadopt tu ile katiba iwe ndio katiba yetu mpya ili tumalize ubishi huu wakatiba mpya? maoni yangu tu lakini.
 
Hii ilipaswa kukaa jukwaa la siasa maana huu ni uwanja wa akina USSR na wengine.
 
Back
Top Bottom