Mfikirishi
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 8,939
- 10,403
Hili ni wazo fikirishi linahitaji tafakuri ya kina zaidi! Siasa na rangi ya vyama vikae pembeni.
Kwa inavyoonekana na kama ilivyotabiriwa awali na WHO; hali ya maambukizi na kusambaza kwa ugonjwa wa Covid-19 unaosababishwa na virusi vya SARS-CoV-2 imefikia hatua mbaya sana!
Hivi mpaka usikie kauli za kiongozi mkuu wa nchi akiitangazia dunia kuwa Tanzania imeweka nadhiri ya maombi kwa siku 3 mfululizo bado mtu unasubiria nini zaidi kuthibitisha hali tete ya Covid-19 ilivyo huko mtaani na Mloganzila?
Pale Magufuli hostel tu nimepita leo asubuhi pamefurika, magari ya walioko quarantine ni mengi ajabu!
Niseme tu kuwa... Laiti kama tungekuwa tunapima watu kikamilifu tena maeneo mengi mengi huko mitaani... Mpaka sasa hivi naandika na wewe unasoma huu uzi ni obvious tungekuwa tunazitaja figure kubwa zaidi ya hizi tunazotangaziwa sasa!!
Mimi ni mpingaji mkubwa wa kuiweka nchi au sehemu ya nchi kwenye "total lockdown". Sipingi tu kama wengine wanavyopinga!
Na sipingi eti si njia muafaka kubaliana na Covid-19... Ni mojawapo ya njia nzuri sana!
BUT! Let's face it and talk about the abvious! Watanzania wengi ni "Machinga" kuanzia maofisini, viwandani, minadani n.k! Wengi wetu tunabangaiza ili tu leo ikutane na kesho... Nguvu yetu ya uchumi kwa mtu mmoja mmoja haiwezi kumaliza hata wiki tukiwa tumejitosheleza kwa kila kitu!
Sasa uchumi kama huo ukifanya lockdown ya aina yoyote utawaua wengi zaidi badala ya vile wangeuwawa kwa Covid-19!!
Sasa nini kifanyike...??
1. Viongozi wote wa serikali na wabunge wakubali kukatwa 20% ya mishahara yao.. hizi fedha ziwekwe kwenye mfuko wa TASAF 3 kusaidia Kaya masikini
2. Mashirika ya Mifuko na Mafao ya Jamii waelekezwe kutokuchukua michango mipya kwa wanachama wao kipindi hiki hadi hali itakapokuwa shwari..(najua tukisema watoe kiasi chochote kwa wanachama wao hawatakubali na wakikubali mchakato wake utachochea zaidi maambukizi ya Covid-19)...
3. TRA isikusanye kodi kwa kipindi hiki hasa kwa wenye mishahara na vipato chini ya 2M kwa mwezi...
4. Serikali itafute fedha ilipe wale wote wanaoidai hasa makandarasi na wazabuni wazawa (wengi sonona, presha na sukari zinawasumbua)
5. Serikali ikiona namba 1-4 hapo juu ni mlolongo basi wajipange kutoa "stimulus package" kwa kila raia mwenye kitambulisho cha taifa/kura ama leseni ya aina yoyote na mwenye majukumu ya kifamilia (mabachelor sijuhi watanichukuliaje tu)!!
Wakifanya lockdowns bila kuchukua tahadhari hizo hapo juu... basi Covid-19 itakuwa imerahisishiwa majukumu yake!
Naombeni kuwasilisha...!!
Maombi bila tahadhari kwa vitendo ni makele tu kama makelele mengine!!
Kunawa mikono ni jukumu letu... Serikali ifanye makubwa zaidi!!