Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Ni kama watu wanajaribu kujisahaulisha Ugonjwa wa Corona. Jamani Covid 19 ipo na inaua. Tuchomeni Kinga na tusisahau kuvaa barakoa sehemu zenye mikusanyiko.
Serikali kwa upendo iliamua kusambaza chanjo. BURE KABISA. watu wanaonekana kujisahaulisha jinsi Covid 19 inavyoua. Tumeona watu wamefariki na hili gonjwa.
Sisi ambao tumechanjwa kwa sasa hatuna tena wasiwasi. Naendelea kuvaa Barakoa. Naona watu wameamua kujivuka mabomu. Hawataki kuvaa barakoa. Vaeni barakoa.