Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Mimi ukinipa kitu ukaweka neno BURE tunakosana.Ni kama watu wanajaribu kujisahaulisha Ugonjwa wa Corona. Jamani Covid 19 ipo na inaua. Tuchomeni Kinga na tusisahau kuvaa barakoa sehemu zenye mikusanyiko.
Serikali kwa upendo iliamua kusambaza chanjo. BURE KABISA. watu wanaonekana kujisahaulisha jinsi Covid 19 inavyoua. Tumeona watu wamefariki na hili gonjwa.
Sisi ambao tumechanjwa kwa sasa hatuna tena wasiwasi. Naendelea kuvaa Barakoa. Naona watu wameamua kujivuka mabomu. Hawataki kuvaa barakoa. Vaeni barakoa.
Hapo mkuu sasa si unaamua tu kulipia.yaani ukichanjwa unatoa tsh 50,000 au 100,000 inakuwa umelipia.Mimi ukinipa kitu ukaweka neno BURE tunakosana.
Hamasisha chanjo ya BURE Kwa familia Yako na ikibidi na mifugo Yako chanja.
UGONJWA FAKE, chanjo FAKE, Kinga ya mwili wangu inatosha.Hapo mkuu sasa si unaamua tu kulipia.yaani ukichanjwa unatoa tsh 50,000 au 100,000 inakuwa umelipia.
Tupo na Ebola sasa huku kwa mzee wagadugunduNi kama watu wanajaribu kujisahaulisha Ugonjwa wa Corona. Jamani Covid 19 ipo na inaua. Tuchomeni Kinga na tusisahau kuvaa barakoa sehemu zenye mikusanyiko.