Tuhati

Mr Chromium

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2020
Posts
2,761
Reaction score
3,835
Habari JF

Napenda Sana kuchati
Kujua mambo
Utani
info za mastaa
na vingine vingi

Kama uko tayari njoo tuchati?

NB:Niko professional so usijar
 
Nataka kujua kwann alikiba wale vijana kings music walikimbia na walikuwa wana saut nzur sana
 
Nataka kujua kwann alikiba wale vijana kings music walikimbia na walikuwa wana saut nzur sana
Alichemka management...alikiba n mtu wakufanya mambo yake....hawez kabisa izo habar kujisimamia plus kusimamia mtu
 
Alichemka management...alikiba n mtu wakufanya mambo yake....hawez kabisa izo habar kujisimamia plus kusimamia mtu
Kwani si angeajiri meneja wa kuwasimamia tu, mbona walikuwa wakifanya vizuri Halafu Sasa hivi wamepotea?
 
Kwani si angeajiri meneja wa kuwasimamia tu, mbona walikuwa wakifanya vizuri Halafu Sasa hivi wamepotea?
Syo kila mmoja anaweza KUFANYA hayo unayoshauri.....mwingine muda wa kumsimamia mwingine Hana..
 
Vile vijaamaa vingekua wasafi vingetisha balaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…