Tuheshimu Watu hata kwa Manukato Watumiayo

Malighafi zinazotumika kutengeneza hayo manukato zimetoka sayari hii hii au ndio zinatoka huko mars?

Je mashine zinazotumika kutengeneza zimetengenezwa na binadamu hawa hawa wa sayari yetu au wametoka jupiter?
 
Naitwa Ruta,
Naishi masaki
Namiliki nyumba nzuri ya kisasa
Natumia manukato ya 13.m
Endelea na utambulisho...

Boss sio mimi

Nilikutana na mtu, nikamuuliza smell ya perfume yako nimeipenda, akanipa jina, nilichokutana nacho nikawa mpole, nilidhani ni AXE za 35,000
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…