Tuhuma dhidi ya Oluoch-CWT Taifa

angakwaanga

Member
Joined
Mar 14, 2015
Posts
34
Reaction score
3
1. Wewe Oluoch Ezekia na msajili wa vyama vya wafanyakazi mama Uiso mnahujumu chama cha CWT.

2. Umemwajiri Godwin Monyo ambaye ni ndugu wa msajili (mama Uiso) kuwa mtaalamu wa mifumo ya kompyuta (I.T technician) bila kutoa tangazo la kazi kama taratibu zinavyotakiwa na bila usaili (interview). Pia huyo aliyeajiriwa si mwalimu kwa sifa. Kwa maana chama ni mali ya walimu.

3. Kwanini umemtangaza mama Stella Kiabo kuwa anafaa kuwa kiongoz kitaifa wakati muda wa kampeni haujaanza. Huoni umekiuka Katiba ya CWT???

4. Unazungumziaje upotevu wa fedha zaidi ya sh. Bilioni nne (more than 4 billions) wakati ulipokaimu kiti cha Katibu Mkuu Taifa kwa muda wa miezi ishirini???

5. Unazungumziaje madeni yako ya mashine za "power tila" ulizokopa kwa hela ya chama? Madeni hayo ulyafuta wakati ulipokaimu kiti cha Katibu Mkuu.

6. Kwanini unadharau viongozi wako wa ngazi ya chini?

7. Kwanini umejiingiza kuwa mwakilishi ktk NACTE, NHIF na African Union peke yako??

USHAURI KWA WAPIGA KURA (walimu) 2015 CWT TAIFA

Huyu mtu (Oluoch Ezekiah) hafai kuwa kiongozi tena ndan ya chama (CWT) maana ana sifa nyingi mbaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…